- Os Orixás

Report copyright infringement
November 12, 2015

Lyrics

Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama(leo)
Tena inaniuma kwa sana (leo)
Nikitoka naenda kumwambia mama (leo)
Naenda kusema kwa mama
Naenda kusema kwa mama

Nyumbani mama umemwachia buku
Shosti umemnunulia kuku
UKirudi nyumbani mikono mitupu
Tena Kurudi kwako ni usiku
Inaniuma nasema
Sinyamazi hata uninulie nyama
Nikitoka naenda kumwambia mama

Nasema nasema ×2

()

Leo nyumbani patachimbika
Nitamwambia hadi sehemu ulipotoka
Nasema leo mbona patanuka
Namweleza mama pamoja na kaka
We baba mbona si unatutesa
Unaondoka hutuachi hata pesa
Namwambia yote yako makosa
Pengine utakuja kuyaacha

()

Nasema nasema inaniuma sana a aa
Kila siku nyumbani kugombana
Nasema nasema inaniuma Sanaa
Kila siku nyumbani kugombana (×2)

Oiyee
Inaniuma sana
Kila siku nyumbani kugombana ×2

Oiyeye Oiyeye ×4

Baraka zako hizi

Sign off

Show moreShow less